0
Katibu wa yanga Boniface Mkwassa afafanua kuhusiana na jengo la klabu hiyo kupigwa mnada kutokana na kutolipa kwa kodi ya jengo hilo tangu mwaka 1996 mpaka 2017, na kodi ya jengo kwa mwaka inafikia milioni hamsini na sita(56million). 
Yanga Sc inadaiwa takribani zaidi ya shilingi milioni 300 (300mil.).
 Ni pesa kubwa kwa hali ya Yanga Sc kwa sasa.




Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post a Comment

 
Top