KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane, amesema anafuraha kubwa kusaini mkataba wa kuendelea kuifundisha timu hiyo, lakini haimaanishi ku...
Andy Murray na Rafael Nadal waanza kwa ushindi michuano ya tenesi ya Wimbledon.
Rafael Nadal Nyota wa mchezo wa tenesi Andy Murray na Rafael Nadal wameanza vyema michuano ya tenesi ya Wimbledon. Murray alimshi...
Everton yakamilisha usajili wa Michael Keane na Sandro Ramirez
Michael Keane Klabu ya Everton imekamilisha usajili wa beki wa kati Michael Keane kutoka Burnley, kwa dau litalofikia pauni milioni 3...
Wanariadha Wa Kike Wenye Homoni Nyingi Za Kiume Hatma Yao Kujulikana
Utafiti mpya unasema kuwa wanawake wanaozaliwa na viwango vya juu vya homini za kiume {Testosterone} wana uwezo mkubwa wa utendaji ikili...
Taifa Stars Yazidi kuchanja mbuga Yaipiga bao 1 - 0 Afrika Kusini na Kutinga Nusu Fainali Cosafa 2017.
Taifa Stars imetinga nusu fainali ya michuano ya Cosafa baada ya kuwatwanga wenyeji Afrika Kusini kwa bao 1-0. Shujaa wa mechi hi...
Polokwane City Have Completed The Signing Of Zimbabwean Striker Donald Ngoma As A Free Agent From Young Africans
The 27-year-old has penned a three-year deal with Rise and Shine after undergoing a medical with the Premiership side. Ngoma is set ...
Christiano Ronaldo Na Real Madrid Yake Wazidi Kufurahia Ubingwa Kwa Mara Ya Pili Mfululizo
Wachezaji wa Real Madrid na Mashabiki wakisherehekea ubingwa waliopata kwa mara ya pili mfululizo dhidi ya Juventus ya Italia na kuandi...
Zinedine Zidane Ndiyo Manager Wa Kwanza Kushinda Uefa Champions League Mwaka 1989/1990
Zinedine Zidane ni Manager/Kocha pekee aliyehai kuchukua kombe la ubingwa wa UEFA mara mbili mfululizo tangu mwaka 1989/1990
Juan Cuadrado Acheza Dakika 20 Apigwa Kadi Yekundu, Juventus Yapigwa 4-1 Na Real Madrid
JUAN CUADRADO raia wa Colombia na mshambuliaji wa Juventus amecheza chini ya dakika ishirini tangua aingie uwa jani na kupewa kadi nyeku...
Real Madrid Yaandika Historia Yaichapa 4-1 Juventus - Christiano Ronaldo Apiga Mbili
REAL MADRID Imefanikiwa kutetea ubingwa kwa mara ya kwanza katika historia ya UEFA Champions League baada ya kushinda mabao 4-1 dhidi ya...
Aserne Wenger Afikiria Kumsajili Riyad Maherez Kutoka Lecister City
Kocha wa Arsen al, Arsene Wenger amesema anavutiwa na winga wa Leicester, Riyad Mahrez lakini bado hajatuma maombi ya kumsajili nyota ...
Tetesi Za Soka Ulaya Jumamosi 23.07.2016
Meneja mpya wa Chelsea Antonio Conte amemuambia mmiliki wa timu Roman Abramovic kuwa anahitaji kusajili wachezaji wengine watano ili Che...
Mamelodi Sundowns Chasing Thomas Ulimwengu Despite Of Huge Offer From Al Ahly of Egypt
African champions Mamelodi Sundowns have invited former TP Mazembe star Thomas Ulimwengu to their club for possible signing. ...
CECAFA Challenge Cup Wanawake Kuanza September 2016 - UGANDA
Nchi saba , ikiwemo wenyeji Uganda, watashiriki katika michuano ya Cecafa 2016 ya wanawake mwezi Septemba. Kenya, Burundi, Zanzibar, Eth...
Brazil Yakwama Kwa South Africa
TIMU ya Taifa ya BRAZIL imelazimishwa suluhu ya bila kufungana na SOUTH AFRICA (BRAZIL 0-0 SOUTH AFRICA) katika mechi yao ya Ufungu...
OLIMPIKI RIO 2016: ZIMBABWE YACHAPWA 6-1 NA SWEDEN
TIMU ya taifa ya kina dada ya ZIMBABWE imecharazwa 6-1 na timu ya taifa ya Ujerumani kwenye mechi zilizochezwa siku ya kwanza ya michezo...
MANNY PACQUIAO KUREJEA ULINGONI KUMKABILI JESSIE VARGAS NOVEMBA
MWANAMASUMBWI Manny Pacquiao atarejea ulingoni mnamo tarehe 5 Novemba kukabiliana na bingwa wa dunia wa uzani wa welter Jessie Vargas ...
STOCKE CITY YAMSAJILI WINGA WA RAMADAN SOBHI KUTOKA AL AHLY
STOCKE CITY imefanikiwa kumsajili winga wa timu ya taifa ya Egypt Ramadan Sobhi kutoka klabu ya Al Ahly mabingwa wa kihisoria kl...
SPORTPESA YA KENYA KUDHAMINI HULL CITY EPL
KAMPUNI ya mashindano ya bahati nasibu inayodhamini Ligi Kuu ya Kenya imetia saini mkataba wa kuwa mdhamini wa klabu ya Hull City ya Uin...
SASTOCK CITY WAONGEZA DAU KUMNASA SAIDO BERAHINO
STOCK CITY wanajiandaa kutoa dau la kuvunja rekodi ya klabu hiyo kumtaka mshambuliaji wa West Brom, Saido Berahino, 22, baada ya paun...



















