TIMU ya Taifa ya BRAZIL imelazimishwa suluhu ya bila kufungana na SOUTH AFRICA (BRAZIL 0-0 SOUTH AFRICA) katika mechi yao ya Ufunguzi katika mashindano ya Rio Olympics.
BRAZIL ilianza mchezo huo kwa kasi ikilisakama lango la timu ya SOUTH AFRICA kupitia kwa mchezaji nyota wa Barcelona Neymar akisaidiwa na Gabriel Jesus, na Gabriel Barbosa.

Golikipa wa Afrika kusini alikuwa kikwazo kikubwa kwa Brazil katika mchezo huo.
Post a Comment