Magari yanayotumia nguvu za umeme yameanza kuuzwa nchini Kenya kwa mara ya kwanza. Magari hayo hayatumii mafuta hata kidogo. "...
DONALD TRUMP AAHIDI KUKOMESHA UHALIFU MAREKANI
Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ameahidi kumaliza uhalifu na ghasia nchini Marekani iwapo atachaguliw...
TAIFA STARS YAJIANDAA KUIKABILI SUPER EAGLES
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Julai 26, 2016 anatarajia kutangaza kikosi kwa aj...
ATLETICO MADRID YAKWAMA KUMSAJILI GONZALO HIGUAIN
Rais wa klabu ya Napoli Aurelio De Laurentiis amebainisha kuwa walikataa ofa ya euro milioni 60 na wachezaji wawili au watatu kutoka Atl...
RATIBA YA UEFA MTOANO YAKAMILIKA
Timu za Astra Giurgiu, Olympiacos, Viktoria Plzeň, Celtic na Dinamo Zagreb zimetinga Raundi ya 3 ya Mtoano ya UEFA , baada ya kukamilik...
DONALD TRUMP AKUBALI UTEUZI WAKE
Donald Trump ameahidi kukomesha matukio ya uhalifu na vurugu nchini Marekani endapo atafanikiwa kuwa rais mteule wa taifa hilo, ahadi hi...
PEP GUARDIOLA APOKEA KICHAPO KUTOKA BAYERN MUNICH
Manchester City, wakicheza mechi yao ya kwanza ya kujiandaa kwa msimu mpya chini ya meneja mpya Pep Guardiola, wamechapwa bao moja kwa bil...
SAM ALLARDYCE AKARIBIA KUPEWA MIKOBA KUINOA ENGLAND
Meneja wa sasa wa klabu ya Sunderland Sam Allardyce anatarajiwa kuthibitishwa kuwa Meneja mpya wa Timu ya Taifa ya England . Bodi ya C...
FERNANDO SANTOS AONGEZEWA MKATABA TIMU YA TAIFA YA URENO.
Chama cha Soka cha Ureno-FPF kimetangaza kumuongeza mkataba kocha Fernando Santos mpaka 2020 baada ya kukiongoza kikosi cha timu ya taifa ...
FA YATANGAZA ADHABU KALI
HATIMAYE mikakati ya kupunguza tabia zisizovumilika kwa wachezaji na mameneja katika soka la Uingereza umetangwazwa rasmi Katika taar...
YANGA YAJIANDAA KUIFUATA MEDEAMA GHANA
Mabingwa soka Tanzania bara Yanga wainatarajia kuondoka jijini Dar es salaam kwenda Ghana mwishoni mwa wiki hii kuwafuata wapinzani wao ...
ARJEN ROBBEN AKUMBWA NA MAJERAHA TENA KUWA NJE KWA WIKI SITA
ARJEN ROBBEN winga wa Bayern Munich atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki sita kutokana kupatwa na majeraha katika mechi ya kirafiki il...











